Native Bible

Numbers 34:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Haya ndiyo majina yao: “Kalebu mwana wa Yefune, kutoka kabila la Yuda;

Numbers 34:19 in English

Numbers 34:19 · Berean Standard Bible

These are their names: Caleb son of Jephunneh from the tribe of Judah;

Context

17“Haya ndiyo majina ya watu ambao watakusaidia kugawanya nchi kama urithi: Eleazari kuhani na Yoshua mwana wa Nuni. 18Tena uteue kiongozi mmoja kutoka kila kabila kusaidia kuigawanya nchi. 19Haya ndiyo majina yao: “Kalebu mwana wa Yefune, kutoka kabila la Yuda; 20Shemueli mwana wa Amihudi, kutoka kabila la Simeoni; 21Elidadi mwana wa Kisloni, kutoka kabila la Benyamini;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.