Native Bible

Numbers 34:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Haya ndiyo majina ya watu ambao watakusaidia kugawanya nchi kama urithi: Eleazari kuhani na Yoshua mwana wa Nuni.

Numbers 34:17 in English

Numbers 34:17 · Berean Standard Bible

“These are the names of the men who are to assign the land as an inheritance for you: Eleazar the priest and Joshua son of Nun.

Context

15Haya makabila mawili na nusu wamekwishapokea urithi wao upande wa mashariki wa Yordani ngʼambo ya Yeriko, kuelekea mawio ya jua.” 16Bwana akamwambia Mose, 17“Haya ndiyo majina ya watu ambao watakusaidia kugawanya nchi kama urithi: Eleazari kuhani na Yoshua mwana wa Nuni. 18Tena uteue kiongozi mmoja kutoka kila kabila kusaidia kuigawanya nchi. 19Haya ndiyo majina yao: “Kalebu mwana wa Yefune, kutoka kabila la Yuda;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.