Hesabu 34:18
Numbers 34:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tena uteue kiongozi mmoja kutoka kila kabila kusaidia kuigawanya nchi.
Numbers 34:18 in English
Numbers 34:18 · Berean Standard Bible
Appoint one leader from each tribe to distribute the land.
Context
16Bwana akamwambia Mose, 17“Haya ndiyo majina ya watu ambao watakusaidia kugawanya nchi kama urithi: Eleazari kuhani na Yoshua mwana wa Nuni. 18Tena uteue kiongozi mmoja kutoka kila kabila kusaidia kuigawanya nchi. 19Haya ndiyo majina yao:
“Kalebu mwana wa Yefune,
kutoka kabila la Yuda; 20Shemueli mwana wa Amihudi,
kutoka kabila la Simeoni;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.