Hesabu 34:20
Numbers 34:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Shemueli mwana wa Amihudi, kutoka kabila la Simeoni;
Numbers 34:20 in English
Numbers 34:20 · Berean Standard Bible
Shemuel son of Ammihud from the tribe of Simeon;
Context
18Tena uteue kiongozi mmoja kutoka kila kabila kusaidia kuigawanya nchi. 19Haya ndiyo majina yao:
“Kalebu mwana wa Yefune,
kutoka kabila la Yuda; 20Shemueli mwana wa Amihudi,
kutoka kabila la Simeoni; 21Elidadi mwana wa Kisloni,
kutoka kabila la Benyamini; 22Buki mwana wa Yogli,
kiongozi kutoka kabila la Dani;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.