Hesabu 32:37
Numbers 32:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nao Wareubeni wakajenga upya miji ya Heshboni, Eleale na Kiriathaimu,
Numbers 32:37 in English
Numbers 32:37 · Berean Standard Bible
The Reubenites built up Heshbon, Elealeh, Kiriathaim,
Context
35Atroth-Shofani, Yazeri, Yogbeha, 36Beth-Nimra na Beth-Harani kama miji iliyozungushiwa ngome, tena wakajenga mazizi kwa ajili ya makundi yao ya mbuzi na kondoo. 37Nao Wareubeni wakajenga upya miji ya Heshboni, Eleale na Kiriathaimu, 38pia Nebo na Baal-Meoni (majina ya hiyo miji yalibadilishwa) na Sibma. Miji waliyoijenga upya waliipa majina. 39Wazao wa Makiri mwana wa Manase walikwenda Gileadi, wakaiteka nchi na kuwafukuza Waamori waliokuwa huko.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.