Native Bible

Numbers 32:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Beth-Nimra na Beth-Harani kama miji iliyozungushiwa ngome, tena wakajenga mazizi kwa ajili ya makundi yao ya mbuzi na kondoo.

Numbers 32:36 in English

Numbers 32:36 · Berean Standard Bible

Beth-nimrah, and Beth-haran as fortified cities, and they built folds for their flocks.

Context

34Wagadi wakajenga Diboni, Atarothi, Aroeri, 35Atroth-Shofani, Yazeri, Yogbeha, 36Beth-Nimra na Beth-Harani kama miji iliyozungushiwa ngome, tena wakajenga mazizi kwa ajili ya makundi yao ya mbuzi na kondoo. 37Nao Wareubeni wakajenga upya miji ya Heshboni, Eleale na Kiriathaimu, 38pia Nebo na Baal-Meoni (majina ya hiyo miji yalibadilishwa) na Sibma. Miji waliyoijenga upya waliipa majina.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.