Native Bible

Numbers 32:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Atroth-Shofani, Yazeri, Yogbeha,

Numbers 32:35 in English

Numbers 32:35 · Berean Standard Bible

Atroth-shophan, Jazer, Jogbehah,

Context

33Kisha Mose akawapa Wagadi, Wareubeni, na nusu ya kabila la Manase mwana wa Yosefu ufalme wa Sihoni mfalme wa Waamori, na ufalme wa Ogu mfalme wa Bashani, nchi yote pamoja na miji yake, na nchi inayowazunguka. 34Wagadi wakajenga Diboni, Atarothi, Aroeri, 35Atroth-Shofani, Yazeri, Yogbeha, 36Beth-Nimra na Beth-Harani kama miji iliyozungushiwa ngome, tena wakajenga mazizi kwa ajili ya makundi yao ya mbuzi na kondoo. 37Nao Wareubeni wakajenga upya miji ya Heshboni, Eleale na Kiriathaimu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.