Native Bible

Numbers 32:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

pia Nebo na Baal-Meoni (majina ya hiyo miji yalibadilishwa) na Sibma. Miji waliyoijenga upya waliipa majina.

Numbers 32:38 in English

Numbers 32:38 · Berean Standard Bible

as well as Nebo and Baal-meon (whose names were changed), and Sibmah. And they renamed the cities they rebuilt.

Context

36Beth-Nimra na Beth-Harani kama miji iliyozungushiwa ngome, tena wakajenga mazizi kwa ajili ya makundi yao ya mbuzi na kondoo. 37Nao Wareubeni wakajenga upya miji ya Heshboni, Eleale na Kiriathaimu, 38pia Nebo na Baal-Meoni (majina ya hiyo miji yalibadilishwa) na Sibma. Miji waliyoijenga upya waliipa majina. 39Wazao wa Makiri mwana wa Manase walikwenda Gileadi, wakaiteka nchi na kuwafukuza Waamori waliokuwa huko. 40Kwa hiyo Mose akawapa Wamakiri, wazao wa Manase, nchi ya Gileadi, nao wakakaa huko.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.