Hesabu 32:39
Numbers 32:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wazao wa Makiri mwana wa Manase walikwenda Gileadi, wakaiteka nchi na kuwafukuza Waamori waliokuwa huko.
Numbers 32:39 in English
Numbers 32:39 · Berean Standard Bible
The descendants of Machir son of Manasseh went to Gilead, captured it, and drove out the Amorites who were there.
Context
37Nao Wareubeni wakajenga upya miji ya Heshboni, Eleale na Kiriathaimu, 38pia Nebo na Baal-Meoni (majina ya hiyo miji yalibadilishwa) na Sibma. Miji waliyoijenga upya waliipa majina. 39Wazao wa Makiri mwana wa Manase walikwenda Gileadi, wakaiteka nchi na kuwafukuza Waamori waliokuwa huko. 40Kwa hiyo Mose akawapa Wamakiri, wazao wa Manase, nchi ya Gileadi, nao wakakaa huko. 41Yairi, mzao wa Manase, akateka makao yao, akayaita Hawoth-Yairi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.