Native Bible

Numbers 32:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yairi, mzao wa Manase, akateka makao yao, akayaita Hawoth-Yairi.

Numbers 32:41 in English

Numbers 32:41 · Berean Standard Bible

Jair, a descendant of Manasseh, went and captured their villages and called them Havvoth-jair.*

Context

39Wazao wa Makiri mwana wa Manase walikwenda Gileadi, wakaiteka nchi na kuwafukuza Waamori waliokuwa huko. 40Kwa hiyo Mose akawapa Wamakiri, wazao wa Manase, nchi ya Gileadi, nao wakakaa huko. 41Yairi, mzao wa Manase, akateka makao yao, akayaita Hawoth-Yairi. 42Naye Noba akateka Kenathi na makao yaliyoizunguka, akayaita Noba kwa jina lake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.