Native Bible

Numbers 32:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo Mose akawapa Wamakiri, wazao wa Manase, nchi ya Gileadi, nao wakakaa huko.

Numbers 32:40 in English

Numbers 32:40 · Berean Standard Bible

So Moses gave Gilead to the clan of Machir son of Manasseh, and they settled there.

Context

38pia Nebo na Baal-Meoni (majina ya hiyo miji yalibadilishwa) na Sibma. Miji waliyoijenga upya waliipa majina. 39Wazao wa Makiri mwana wa Manase walikwenda Gileadi, wakaiteka nchi na kuwafukuza Waamori waliokuwa huko. 40Kwa hiyo Mose akawapa Wamakiri, wazao wa Manase, nchi ya Gileadi, nao wakakaa huko. 41Yairi, mzao wa Manase, akateka makao yao, akayaita Hawoth-Yairi. 42Naye Noba akateka Kenathi na makao yaliyoizunguka, akayaita Noba kwa jina lake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.