Native Bible

Numbers 3:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kiongozi wa jamaa za koo za Wakohathi alikuwa Elisafani mwana wa Uzieli.

Numbers 3:30 in English

Numbers 3:30 · Berean Standard Bible

and the leader of the families of the Kohathites was Elizaphan * son of Uzziel.

Context

28Hesabu ya waume wote wenye mwezi mmoja au zaidi ilikuwa watu 8,600. Wakohathi waliwajibika kutunza mahali patakatifu. 29Koo za Wakohathi zilitakiwa kuweka kambi zao upande wa kusini wa Maskani. 30Kiongozi wa jamaa za koo za Wakohathi alikuwa Elisafani mwana wa Uzieli. 31Waliwajibika kutunza Sanduku la Agano, meza, kinara cha taa, madhabahu, na vile vyombo vya mahali patakatifu vinavyotumika kuhudumu, pazia, na kila kitu kinachohusika na matumizi yake. 32Kiongozi mkuu wa Walawi alikuwa Eleazari mwana wa kuhani, Aroni. Aliwekwa juu ya wale waliowajibika kutunza mahali patakatifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.