Native Bible

Numbers 3:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hesabu ya waume wote wenye mwezi mmoja au zaidi ilikuwa watu 8,600. Wakohathi waliwajibika kutunza mahali patakatifu.

Numbers 3:28 in English

Numbers 3:28 · Berean Standard Bible

The number of all the males a month old or more was 8,600.* They were responsible for the duties of the sanctuary.

Context

26mapazia ya ua, pazia katika ingilio la ua unaozunguka Maskani na madhabahu, pamoja na kamba, na kila kinachohusika kwa matumizi yake. 27Kwa Kohathi kulikuwepo koo za Waamramu, Waishari, Wahebroni na Wauzieli; hizi ndizo zilizokuwa koo za Wakohathi. 28Hesabu ya waume wote wenye mwezi mmoja au zaidi ilikuwa watu 8,600. Wakohathi waliwajibika kutunza mahali patakatifu. 29Koo za Wakohathi zilitakiwa kuweka kambi zao upande wa kusini wa Maskani. 30Kiongozi wa jamaa za koo za Wakohathi alikuwa Elisafani mwana wa Uzieli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.