Native Bible

Numbers 3:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Koo za Wakohathi zilitakiwa kuweka kambi zao upande wa kusini wa Maskani.

Numbers 3:29 in English

Numbers 3:29 · Berean Standard Bible

The clans of the Kohathites were to camp on the south side of the tabernacle,

Context

27Kwa Kohathi kulikuwepo koo za Waamramu, Waishari, Wahebroni na Wauzieli; hizi ndizo zilizokuwa koo za Wakohathi. 28Hesabu ya waume wote wenye mwezi mmoja au zaidi ilikuwa watu 8,600. Wakohathi waliwajibika kutunza mahali patakatifu. 29Koo za Wakohathi zilitakiwa kuweka kambi zao upande wa kusini wa Maskani. 30Kiongozi wa jamaa za koo za Wakohathi alikuwa Elisafani mwana wa Uzieli. 31Waliwajibika kutunza Sanduku la Agano, meza, kinara cha taa, madhabahu, na vile vyombo vya mahali patakatifu vinavyotumika kuhudumu, pazia, na kila kitu kinachohusika na matumizi yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.