Native Bible

Numbers 1:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kutoka Simeoni, ni Shelumieli mwana wa Surishadai;

Numbers 1:6 in English

Numbers 1:6 · Berean Standard Bible

from Simeon, Shelumiel son of Zurishaddai;

Context

4Mwanaume mmoja kutoka kila kabila, kila aliye kiongozi wa jamaa yake, atawasaidia. 5Haya ndiyo majina ya wanaume watakaowasaidia: “kutoka Reubeni, ni Elisuri mwana wa Shedeuri; 6kutoka Simeoni, ni Shelumieli mwana wa Surishadai; 7kutoka Yuda, ni Nashoni mwana wa Aminadabu; 8kutoka Isakari, ni Nethaneli mwana wa Suari;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.