Hesabu 1:5
Numbers 1:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Haya ndiyo majina ya wanaume watakaowasaidia: “kutoka Reubeni, ni Elisuri mwana wa Shedeuri;
Numbers 1:5 in English
Numbers 1:5 · Berean Standard Bible
These are the names of the men who are to assist you: From the tribe of Reuben, Elizur son of Shedeur;
Context
3Wewe na Aroni mtawahesabu kwa migawanyo yao wanaume wote katika Israeli wenye miaka ishirini na kuendelea ambao wanaweza kutumika katika jeshi. 4Mwanaume mmoja kutoka kila kabila, kila aliye kiongozi wa jamaa yake, atawasaidia. 5Haya ndiyo majina ya wanaume watakaowasaidia:
“kutoka Reubeni, ni Elisuri mwana wa Shedeuri; 6kutoka Simeoni, ni Shelumieli mwana wa Surishadai; 7kutoka Yuda, ni Nashoni mwana wa Aminadabu;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.