Hesabu 1:4
Numbers 1:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwanaume mmoja kutoka kila kabila, kila aliye kiongozi wa jamaa yake, atawasaidia.
Numbers 1:4 in English
Numbers 1:4 · Berean Standard Bible
And one man from each tribe, the head of each family, must be there with you.
Context
2“Hesabu watu wa jumuiya yote ya Waisraeli kwa kufuata koo zao na jamaa zao, ukiorodhesha kila mwanaume kwa jina lake, mmoja mmoja. 3Wewe na Aroni mtawahesabu kwa migawanyo yao wanaume wote katika Israeli wenye miaka ishirini na kuendelea ambao wanaweza kutumika katika jeshi. 4Mwanaume mmoja kutoka kila kabila, kila aliye kiongozi wa jamaa yake, atawasaidia. 5Haya ndiyo majina ya wanaume watakaowasaidia:
“kutoka Reubeni, ni Elisuri mwana wa Shedeuri; 6kutoka Simeoni, ni Shelumieli mwana wa Surishadai;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.