Native Bible

Numbers 1:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kutoka Yuda, ni Nashoni mwana wa Aminadabu;

Numbers 1:7 in English

Numbers 1:7 · Berean Standard Bible

from Judah, Nahshon son of Amminadab;

Context

5Haya ndiyo majina ya wanaume watakaowasaidia: “kutoka Reubeni, ni Elisuri mwana wa Shedeuri; 6kutoka Simeoni, ni Shelumieli mwana wa Surishadai; 7kutoka Yuda, ni Nashoni mwana wa Aminadabu; 8kutoka Isakari, ni Nethaneli mwana wa Suari; 9kutoka Zabuloni, ni Eliabu mwana wa Heloni;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.