Native Bible

Nehemiah 7:70 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baadhi ya viongozi wa jamaa walichangia kazi ya ujenzi. Mtawala alikabidhi kwenye hazina darkoni 1,000* za dhahabu, mabakuli 50, na mavazi 530 kwa ajili ya makuhani.

Nehemiah 7:70 in English

Nehemiah 7:70 · Berean Standard Bible

Some of the heads of the families contributed to the project. The governor gave to the treasury 1,000 darics of gold,* 50 bowls, and 530 priestly garments.

Context

68Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245 69ngamia 435 na punda 6,720. 70Baadhi ya viongozi wa jamaa walichangia kazi ya ujenzi. Mtawala alikabidhi kwenye hazina darkoni 1,000* za dhahabu, mabakuli 50, na mavazi 530 kwa ajili ya makuhani. 71Baadhi ya viongozi wa jamaa walikabidhi kwenye hazina darkoni 20,000 za dhahabu,* na mane 2,200* za fedha kwa ajili ya kazi hiyo. 72Jumla ya matoleo ya watu wengine yalikuwa ni darkoni 20,000 za dhahabu, mane 2,000 za fedha, na mavazi sitini na saba ya makuhani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.