Nehemia 7:69
Nehemiah 7:69 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ngamia 435 na punda 6,720.
Nehemiah 7:69 in English
Nehemiah 7:69 · Berean Standard Bible
435 camels, and 6,720 donkeys.
Context
67tena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 245. 68Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245 69ngamia 435 na punda 6,720. 70Baadhi ya viongozi wa jamaa walichangia kazi ya ujenzi. Mtawala alikabidhi kwenye hazina darkoni 1,000* za dhahabu, mabakuli 50, na mavazi 530 kwa ajili ya makuhani. 71Baadhi ya viongozi wa jamaa walikabidhi kwenye hazina darkoni 20,000 za dhahabu,* na mane 2,200* za fedha kwa ajili ya kazi hiyo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.