Nehemia 7:67
Nehemiah 7:67 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
tena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 245.
Nehemiah 7:67 in English
Nehemiah 7:67 · Berean Standard Bible
in addition to their 7,337 menservants and maidservants, as well as their 245 male and female singers.
Context
65Kwa hiyo, mtawala* aliagiza kuwa wasile chochote miongoni mwa vyakula vitakatifu hadi kuwe kuhani atakayehudumu kwa Urimu na Thumimu.* 66Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa 42,360; 67tena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 245. 68Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245 69ngamia 435 na punda 6,720.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.