Nehemia 7:68
Nehemiah 7:68 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245
Nehemiah 7:68 in English
Nehemiah 7:68 · Berean Standard Bible
They had 736 horses, 245 mules, *
Context
66Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa 42,360; 67tena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 245. 68Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245 69ngamia 435 na punda 6,720. 70Baadhi ya viongozi wa jamaa walichangia kazi ya ujenzi. Mtawala alikabidhi kwenye hazina darkoni 1,000* za dhahabu, mabakuli 50, na mavazi 530 kwa ajili ya makuhani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.