Nehemia 7:71
Nehemiah 7:71 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baadhi ya viongozi wa jamaa walikabidhi kwenye hazina darkoni 20,000 za dhahabu,* na mane 2,200* za fedha kwa ajili ya kazi hiyo.
Nehemiah 7:71 in English
Nehemiah 7:71 · Berean Standard Bible
And some of the heads of the families gave to the treasury for the project 20,000 darics of gold * and 2,200 minas of silver.*
Context
69ngamia 435 na punda 6,720. 70Baadhi ya viongozi wa jamaa walichangia kazi ya ujenzi. Mtawala alikabidhi kwenye hazina darkoni 1,000* za dhahabu, mabakuli 50, na mavazi 530 kwa ajili ya makuhani. 71Baadhi ya viongozi wa jamaa walikabidhi kwenye hazina darkoni 20,000 za dhahabu,* na mane 2,200* za fedha kwa ajili ya kazi hiyo. 72Jumla ya matoleo ya watu wengine yalikuwa ni darkoni 20,000 za dhahabu, mane 2,000 za fedha, na mavazi sitini na saba ya makuhani. 73Makuhani, Walawi, mabawabu, waimbaji na watumishi wa Hekalu, pamoja na baadhi ya watu wengine na Waisraeli waliosalia waliishi katika miji yao wenyewe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.