Nehemia 7:72
Nehemiah 7:72 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Jumla ya matoleo ya watu wengine yalikuwa ni darkoni 20,000 za dhahabu, mane 2,000 za fedha, na mavazi sitini na saba ya makuhani.
Nehemiah 7:72 in English
Nehemiah 7:72 · Berean Standard Bible
The rest of the people gave a total of 20,000 darics of gold, 2,000 minas of silver,* and 67 priestly garments.
Context
70Baadhi ya viongozi wa jamaa walichangia kazi ya ujenzi. Mtawala alikabidhi kwenye hazina darkoni 1,000* za dhahabu, mabakuli 50, na mavazi 530 kwa ajili ya makuhani. 71Baadhi ya viongozi wa jamaa walikabidhi kwenye hazina darkoni 20,000 za dhahabu,* na mane 2,200* za fedha kwa ajili ya kazi hiyo. 72Jumla ya matoleo ya watu wengine yalikuwa ni darkoni 20,000 za dhahabu, mane 2,000 za fedha, na mavazi sitini na saba ya makuhani. 73Makuhani, Walawi, mabawabu, waimbaji na watumishi wa Hekalu, pamoja na baadhi ya watu wengine na Waisraeli waliosalia waliishi katika miji yao wenyewe. 74(73) Ilipotimia miezi saba, nao Waisraeli wakiwa tayari wanaishi katika miji yao,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.