Nehemia 7:74
Swahili· Change
- TwiAsante Twi
- SwahiliKiswahili
- YorubaYorùbá
- IgboIgbo
- EnglishBerean Standard Bible
Nehemiah 7:74 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
(73) Ilipotimia miezi saba, nao Waisraeli wakiwa tayari wanaishi katika miji yao,
Context
72Jumla ya matoleo ya watu wengine yalikuwa ni darkoni 20,000 za dhahabu, mane 2,000 za fedha, na mavazi sitini na saba ya makuhani. 73Makuhani, Walawi, mabawabu, waimbaji na watumishi wa Hekalu, pamoja na baadhi ya watu wengine na Waisraeli waliosalia waliishi katika miji yao wenyewe. 74(73) Ilipotimia miezi saba, nao Waisraeli wakiwa tayari wanaishi katika miji yao,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.