Marko 13:23
Mark 13:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo jihadharini. Nimekwisha kuwaambia mambo haya yote mapema kabla hayajatukia.
Mark 13:23 in English
Mark 13:23 · Berean Standard Bible
So be on your guard; I have told you everything in advance.
Context
21Wakati huo mtu yeyote akiwaambia, ‘Tazama, Kristo* huyu hapa!’ au, ‘Tazama, yuko kule,’ msisadiki. 22Kwa maana watatokea makristo wa uongo na manabii wa uongo, nao watafanya ishara na maajabu ili kuwapotosha, ikiwezekana, hata wale wateule. 23Hivyo jihadharini. Nimekwisha kuwaambia mambo haya yote mapema kabla hayajatukia. 24“Lakini katika siku hizo, baada ya hiyo dhiki,
“ ‘jua litatiwa giza
nao mwezi hautatoa nuru yake; 25nazo nyota zitaanguka kutoka angani,
na nguvu za anga zitatikisika.’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.