Marko 13:25
Mark 13:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
nazo nyota zitaanguka kutoka angani, na nguvu za anga zitatikisika.’
Mark 13:25 in English
Mark 13:25 · Berean Standard Bible
the stars will fall from the sky, and the powers of the heavens will be shaken.’*
Context
23Hivyo jihadharini. Nimekwisha kuwaambia mambo haya yote mapema kabla hayajatukia. 24“Lakini katika siku hizo, baada ya hiyo dhiki,
“ ‘jua litatiwa giza
nao mwezi hautatoa nuru yake; 25nazo nyota zitaanguka kutoka angani,
na nguvu za anga zitatikisika.’ 26“Ndipo watu wote watakapomwona Mwana wa Adamu akija mawinguni kwa nguvu nyingi na utukufu. 27Naye atawatuma malaika wake wawakusanye wateule wake kutoka pande zote nne za dunia, kutoka miisho ya dunia hadi miisho ya mbingu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.