Marko 13:24
Mark 13:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Lakini katika siku hizo, baada ya hiyo dhiki, “ ‘jua litatiwa giza nao mwezi hautatoa nuru yake;
Mark 13:24 in English
Mark 13:24 · Berean Standard Bible
But in those days, after that tribulation: ‘The sun will be darkened, and the moon will not give its light;
Context
22Kwa maana watatokea makristo wa uongo na manabii wa uongo, nao watafanya ishara na maajabu ili kuwapotosha, ikiwezekana, hata wale wateule. 23Hivyo jihadharini. Nimekwisha kuwaambia mambo haya yote mapema kabla hayajatukia. 24“Lakini katika siku hizo, baada ya hiyo dhiki,
“ ‘jua litatiwa giza
nao mwezi hautatoa nuru yake; 25nazo nyota zitaanguka kutoka angani,
na nguvu za anga zitatikisika.’ 26“Ndipo watu wote watakapomwona Mwana wa Adamu akija mawinguni kwa nguvu nyingi na utukufu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.