Marko 13:22
Mark 13:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana watatokea makristo wa uongo na manabii wa uongo, nao watafanya ishara na maajabu ili kuwapotosha, ikiwezekana, hata wale wateule.
Mark 13:22 in English
Mark 13:22 · Berean Standard Bible
For false Christs and false prophets will appear and perform signs and wonders that would deceive even the elect, if that were possible.
Context
20Kama Bwana asingelifupisha siku hizo, kamwe asingeliokoka mtu yeyote. Lakini kwa ajili ya wateule, wale aliowachagua, amezifupisha siku hizo. 21Wakati huo mtu yeyote akiwaambia, ‘Tazama, Kristo* huyu hapa!’ au, ‘Tazama, yuko kule,’ msisadiki. 22Kwa maana watatokea makristo wa uongo na manabii wa uongo, nao watafanya ishara na maajabu ili kuwapotosha, ikiwezekana, hata wale wateule. 23Hivyo jihadharini. Nimekwisha kuwaambia mambo haya yote mapema kabla hayajatukia. 24“Lakini katika siku hizo, baada ya hiyo dhiki,
“ ‘jua litatiwa giza
nao mwezi hautatoa nuru yake;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.