Native Bible

Mark 13:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ole wao wenye mimba na wale wanaonyonyesha watoto siku hizo!

Mark 13:17 in English

Mark 13:17 · Berean Standard Bible

How miserable those days will be for pregnant and nursing mothers!

Context

15Yeyote aliye juu ya dari ya nyumba asishuke au kuingia ndani ili kuchukua chochote. 16Aliye shambani asirudi nyumbani kuchukua vazi lake. 17Ole wao wenye mimba na wale wanaonyonyesha watoto siku hizo! 18Ombeni mambo haya yasitokee wakati wa baridi. 19Kwa maana siku hizo zitakuwa za dhiki kuu ambayo haijapata kuwako tangu mwanzo, hapo Mungu alipoumba ulimwengu, mpaka leo, na wala haitakuwako tena kamwe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.