Marko 13:16
Mark 13:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Aliye shambani asirudi nyumbani kuchukua vazi lake.
Mark 13:16 in English
Mark 13:16 · Berean Standard Bible
And let no one in the field return for his cloak.
Context
14“Mtakapoona ‘chukizo la uharibifu’ limesimama mahali pasipolipasa (asomaye na afahamu), basi wale walioko Uyahudi wakimbilie milimani. 15Yeyote aliye juu ya dari ya nyumba asishuke au kuingia ndani ili kuchukua chochote. 16Aliye shambani asirudi nyumbani kuchukua vazi lake. 17Ole wao wenye mimba na wale wanaonyonyesha watoto siku hizo! 18Ombeni mambo haya yasitokee wakati wa baridi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.