Marko 13:15
Mark 13:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yeyote aliye juu ya dari ya nyumba asishuke au kuingia ndani ili kuchukua chochote.
Mark 13:15 in English
Mark 13:15 · Berean Standard Bible
Let no one on the housetop go back inside to retrieve anything from his house.
Context
13Watu wote watawachukia kwa ajili ya Jina langu. Lakini yule atakayevumilia hadi mwisho ataokolewa. 14“Mtakapoona ‘chukizo la uharibifu’ limesimama mahali pasipolipasa (asomaye na afahamu), basi wale walioko Uyahudi wakimbilie milimani. 15Yeyote aliye juu ya dari ya nyumba asishuke au kuingia ndani ili kuchukua chochote. 16Aliye shambani asirudi nyumbani kuchukua vazi lake. 17Ole wao wenye mimba na wale wanaonyonyesha watoto siku hizo!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.