Marko 13:18
Mark 13:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ombeni mambo haya yasitokee wakati wa baridi.
Mark 13:18 in English
Mark 13:18 · Berean Standard Bible
Pray that this will not occur in the winter.
Context
16Aliye shambani asirudi nyumbani kuchukua vazi lake. 17Ole wao wenye mimba na wale wanaonyonyesha watoto siku hizo! 18Ombeni mambo haya yasitokee wakati wa baridi. 19Kwa maana siku hizo zitakuwa za dhiki kuu ambayo haijapata kuwako tangu mwanzo, hapo Mungu alipoumba ulimwengu, mpaka leo, na wala haitakuwako tena kamwe. 20Kama Bwana asingelifupisha siku hizo, kamwe asingeliokoka mtu yeyote. Lakini kwa ajili ya wateule, wale aliowachagua, amezifupisha siku hizo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.