Native Bible

Mark 13:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana siku hizo zitakuwa za dhiki kuu ambayo haijapata kuwako tangu mwanzo, hapo Mungu alipoumba ulimwengu, mpaka leo, na wala haitakuwako tena kamwe.

Mark 13:19 in English

Mark 13:19 · Berean Standard Bible

For those will be days of tribulation unmatched from the beginning of God’s creation until now, and never to be seen again.

Context

17Ole wao wenye mimba na wale wanaonyonyesha watoto siku hizo! 18Ombeni mambo haya yasitokee wakati wa baridi. 19Kwa maana siku hizo zitakuwa za dhiki kuu ambayo haijapata kuwako tangu mwanzo, hapo Mungu alipoumba ulimwengu, mpaka leo, na wala haitakuwako tena kamwe. 20Kama Bwana asingelifupisha siku hizo, kamwe asingeliokoka mtu yeyote. Lakini kwa ajili ya wateule, wale aliowachagua, amezifupisha siku hizo. 21Wakati huo mtu yeyote akiwaambia, ‘Tazama, Kristo* huyu hapa!’ au, ‘Tazama, yuko kule,’ msisadiki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.