Native Bible

Matthew 8:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Naye alipoingia kwenye mashua, wanafunzi wake wakamfuata.

Matthew 8:23 in English

Matthew 8:23 · Berean Standard Bible

When He got into the boat, His disciples followed Him.

Context

21Mwanafunzi mwingine akamwambia, “Bwana, niruhusu kwanza nikamzike baba yangu.” 22Lakini Yesu akamwambia, “Nifuate, uwaache wafu wawazike wafu wao.” 23Naye alipoingia kwenye mashua, wanafunzi wake wakamfuata. 24Ghafula, kukainuka dhoruba kali baharini hata mashua ikaanza kufunikwa na mawimbi, lakini Yesu alikuwa amelala usingizi. 25Wanafunzi wake wakamwendea na kumwamsha, wakisema, “Bwana, tuokoe! Tunazama!”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.