Native Bible

Matthew 8:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini Yesu akamwambia, “Nifuate, uwaache wafu wawazike wafu wao.”

Matthew 8:22 in English

Matthew 8:22 · Berean Standard Bible

But Jesus told him, “Follow Me, and let the dead bury their own dead.”

Context

20Naye Yesu akamjibu, “Mbweha wana mapango, nao ndege wa angani wana viota, lakini Mwana wa Adamu hana mahali pa kulaza kichwa chake.” 21Mwanafunzi mwingine akamwambia, “Bwana, niruhusu kwanza nikamzike baba yangu.” 22Lakini Yesu akamwambia, “Nifuate, uwaache wafu wawazike wafu wao.” 23Naye alipoingia kwenye mashua, wanafunzi wake wakamfuata. 24Ghafula, kukainuka dhoruba kali baharini hata mashua ikaanza kufunikwa na mawimbi, lakini Yesu alikuwa amelala usingizi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.