Mathayo 8:20
Matthew 8:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Naye Yesu akamjibu, “Mbweha wana mapango, nao ndege wa angani wana viota, lakini Mwana wa Adamu hana mahali pa kulaza kichwa chake.”
Matthew 8:20 in English
Matthew 8:20 · Berean Standard Bible
Jesus replied, “Foxes have dens and birds of the air have nests, but the Son of Man has no place to lay His head.”
Context
18Yesu alipoona makutano mengi wamemzunguka, aliwaamuru wanafunzi wake wavuke mpaka ngʼambo ya ziwa. 19Kisha mwalimu mmoja wa sheria akamjia Yesu na kumwambia, “Mwalimu, nitakufuata kokote uendako.” 20Naye Yesu akamjibu, “Mbweha wana mapango, nao ndege wa angani wana viota, lakini Mwana wa Adamu hana mahali pa kulaza kichwa chake.” 21Mwanafunzi mwingine akamwambia, “Bwana, niruhusu kwanza nikamzike baba yangu.” 22Lakini Yesu akamwambia, “Nifuate, uwaache wafu wawazike wafu wao.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.