Native Bible

Matthew 8:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwanafunzi mwingine akamwambia, “Bwana, niruhusu kwanza nikamzike baba yangu.”

Matthew 8:21 in English

Matthew 8:21 · Berean Standard Bible

Another of His disciples requested, “Lord, first let me go and bury my father.”

Context

19Kisha mwalimu mmoja wa sheria akamjia Yesu na kumwambia, “Mwalimu, nitakufuata kokote uendako.” 20Naye Yesu akamjibu, “Mbweha wana mapango, nao ndege wa angani wana viota, lakini Mwana wa Adamu hana mahali pa kulaza kichwa chake.” 21Mwanafunzi mwingine akamwambia, “Bwana, niruhusu kwanza nikamzike baba yangu.” 22Lakini Yesu akamwambia, “Nifuate, uwaache wafu wawazike wafu wao.” 23Naye alipoingia kwenye mashua, wanafunzi wake wakamfuata.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.