Native Bible

Matthew 3:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi Yohana alivaa mavazi yaliyotengenezwa kwa singa za ngamia, akiwa na mkanda wa ngozi kiunoni mwake. Chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwitu.

Matthew 3:4 in English

Matthew 3:4 · Berean Standard Bible

John wore a garment of camel’s hair, with a leather belt around his waist. His food was locusts and wild honey.

Context

2“Tubuni, kwa maana Ufalme wa Mbinguni umekaribia.” 3Huyu ndiye yule aliyenenwa habari zake na nabii Isaya aliposema: “Sauti ya mtu aliaye huko nyikani, ‘Tayarisheni njia kwa ajili ya Bwana, yanyoosheni mapito yake.’ ” 4Basi Yohana alivaa mavazi yaliyotengenezwa kwa singa za ngamia, akiwa na mkanda wa ngozi kiunoni mwake. Chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwitu. 5Watu walikuwa wakimwendea kutoka Yerusalemu, Uyahudi yote na nchi zote za kandokando ya Mto Yordani. 6Nao wakaziungama dhambi zao, akawabatiza katika Mto Yordani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.