Native Bible

Matthew 3:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Tubuni, kwa maana Ufalme wa Mbinguni umekaribia.”

Matthew 3:2 in English

Matthew 3:2 · Berean Standard Bible

and saying, “Repent, for the kingdom of heaven is near.”

Context

1Siku hizo Yohana Mbatizaji alikuja akihubiri katika nyika ya Uyahudi, akisema, 2“Tubuni, kwa maana Ufalme wa Mbinguni umekaribia.” 3Huyu ndiye yule aliyenenwa habari zake na nabii Isaya aliposema: “Sauti ya mtu aliaye huko nyikani, ‘Tayarisheni njia kwa ajili ya Bwana, yanyoosheni mapito yake.’ ” 4Basi Yohana alivaa mavazi yaliyotengenezwa kwa singa za ngamia, akiwa na mkanda wa ngozi kiunoni mwake. Chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwitu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.