Native Bible

Matthew 3:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Siku hizo Yohana Mbatizaji alikuja akihubiri katika nyika ya Uyahudi, akisema,

Matthew 3:1 in English

Matthew 3:1 · Berean Standard Bible

In those days John the Baptist came, preaching in the wilderness of Judea

Context

1Siku hizo Yohana Mbatizaji alikuja akihubiri katika nyika ya Uyahudi, akisema, 2“Tubuni, kwa maana Ufalme wa Mbinguni umekaribia.” 3Huyu ndiye yule aliyenenwa habari zake na nabii Isaya aliposema: “Sauti ya mtu aliaye huko nyikani, ‘Tayarisheni njia kwa ajili ya Bwana, yanyoosheni mapito yake.’ ”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.