Native Bible

Matthew 3:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nao wakaziungama dhambi zao, akawabatiza katika Mto Yordani.

Matthew 3:6 in English

Matthew 3:6 · Berean Standard Bible

Confessing their sins, they were baptized by him in the Jordan River.

Context

4Basi Yohana alivaa mavazi yaliyotengenezwa kwa singa za ngamia, akiwa na mkanda wa ngozi kiunoni mwake. Chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwitu. 5Watu walikuwa wakimwendea kutoka Yerusalemu, Uyahudi yote na nchi zote za kandokando ya Mto Yordani. 6Nao wakaziungama dhambi zao, akawabatiza katika Mto Yordani. 7Lakini alipowaona Mafarisayo na Masadukayo wengi wakija ili kubatizwa, aliwaambia: “Ninyi watoto wa nyoka! Ni nani aliyewaonya kuikimbia ghadhabu inayokuja? 8Basi zaeni matunda yastahiliyo toba.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.