Mathayo 3:8
Matthew 3:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi zaeni matunda yastahiliyo toba.
Matthew 3:8 in English
Matthew 3:8 · Berean Standard Bible
Produce fruit, then, in keeping with repentance.
Context
6Nao wakaziungama dhambi zao, akawabatiza katika Mto Yordani. 7Lakini alipowaona Mafarisayo na Masadukayo wengi wakija ili kubatizwa, aliwaambia: “Ninyi watoto wa nyoka! Ni nani aliyewaonya kuikimbia ghadhabu inayokuja? 8Basi zaeni matunda yastahiliyo toba. 9Wala msidhani mnaweza kusema mioyoni mwenu kuwa, ‘Sisi tunaye Abrahamu, baba yetu.’ Nawaambia kuwa Mungu anaweza kumwinulia Abrahamu watoto kutoka kwa mawe haya. 10Hata sasa shoka limeshawekwa tayari kwenye shina la kila mti, basi kila mti usiozaa matunda mazuri, hukatwa na kutupwa motoni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.