Native Bible

Matthew 27:50 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu alipolia tena kwa sauti kuu, akaitoa roho yake.

Matthew 27:50 in English

Matthew 27:50 · Berean Standard Bible

When Jesus had cried out again in a loud voice, He yielded up His spirit.

Context

48Ghafula mmoja wao akaenda mbio na kuleta sifongo, akaichovya kwenye siki, akaiweka kwenye mwanzi na akampa Yesu ili anywe. 49Wengine wakasema, “Basi mwacheni. Hebu tuone kama Eliya atakuja kumwokoa.” 50Yesu alipolia tena kwa sauti kuu, akaitoa roho yake. 51Wakati huo huo pazia la Hekalu likachanika vipande viwili, kuanzia juu hadi chini. Dunia ikatetemeka na miamba ikapasuka. 52Makaburi yakafunguka na miili ya watakatifu waliokuwa wamekufa ikafufuliwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.