Mathayo 27:49
Matthew 27:49 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wengine wakasema, “Basi mwacheni. Hebu tuone kama Eliya atakuja kumwokoa.”
Matthew 27:49 in English
Matthew 27:49 · Berean Standard Bible
But the others said, “Leave Him alone. Let us see if Elijah comes to save Him.”*
Context
47Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama pale waliposikia hayo, wakasema, “Anamwita Eliya.” 48Ghafula mmoja wao akaenda mbio na kuleta sifongo, akaichovya kwenye siki, akaiweka kwenye mwanzi na akampa Yesu ili anywe. 49Wengine wakasema, “Basi mwacheni. Hebu tuone kama Eliya atakuja kumwokoa.” 50Yesu alipolia tena kwa sauti kuu, akaitoa roho yake. 51Wakati huo huo pazia la Hekalu likachanika vipande viwili, kuanzia juu hadi chini. Dunia ikatetemeka na miamba ikapasuka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.