Native Bible

Matthew 27:51 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati huo huo pazia la Hekalu likachanika vipande viwili, kuanzia juu hadi chini. Dunia ikatetemeka na miamba ikapasuka.

Matthew 27:51 in English

Matthew 27:51 · Berean Standard Bible

At that moment the veil of the temple was torn in two from top to bottom. The earth quaked and the rocks were split.

Context

49Wengine wakasema, “Basi mwacheni. Hebu tuone kama Eliya atakuja kumwokoa.” 50Yesu alipolia tena kwa sauti kuu, akaitoa roho yake. 51Wakati huo huo pazia la Hekalu likachanika vipande viwili, kuanzia juu hadi chini. Dunia ikatetemeka na miamba ikapasuka. 52Makaburi yakafunguka na miili ya watakatifu waliokuwa wamekufa ikafufuliwa. 53Wakatoka makaburini, na baada ya Yesu kufufuka, waliingia kwenye Mji Mtakatifu na kuwatokea watu wengi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.