Native Bible

Matthew 27:52 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Makaburi yakafunguka na miili ya watakatifu waliokuwa wamekufa ikafufuliwa.

Matthew 27:52 in English

Matthew 27:52 · Berean Standard Bible

The tombs broke open, and the bodies of many saints who had fallen asleep were raised.

Context

50Yesu alipolia tena kwa sauti kuu, akaitoa roho yake. 51Wakati huo huo pazia la Hekalu likachanika vipande viwili, kuanzia juu hadi chini. Dunia ikatetemeka na miamba ikapasuka. 52Makaburi yakafunguka na miili ya watakatifu waliokuwa wamekufa ikafufuliwa. 53Wakatoka makaburini, na baada ya Yesu kufufuka, waliingia kwenye Mji Mtakatifu na kuwatokea watu wengi. 54Basi yule jemadari na wale waliokuwa pamoja naye wakimlinda Yesu walipoona lile tetemeko na yale yote yaliyokuwa yametukia, waliogopa, wakasema, “Hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu!”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.