Native Bible

Matthew 26:68 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

na kusema, “Tutabirie, wewe Kristo! Ni nani aliyekupiga?”

Matthew 26:68 in English

Matthew 26:68 · Berean Standard Bible

and said, “Prophesy to us, Christ! Who hit You?”

Context

66Uamuzi wenu ni gani?” Wakajibu, “Anastahili kufa.” 67Kisha wakamtemea mate usoni na wengine wakampiga ngumi. Wengine wakampiga makofi 68na kusema, “Tutabirie, wewe Kristo! Ni nani aliyekupiga?” 69Wakati huu Petro alikuwa amekaa nje uani. Mtumishi mmoja wa kike akamjia na kumwambia, “Wewe pia ulikuwa pamoja na Yesu wa Galilaya.” 70Lakini Petro akakana mbele yao wote akisema, “Sijui hilo usemalo.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.