Native Bible

Matthew 26:67 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha wakamtemea mate usoni na wengine wakampiga ngumi. Wengine wakampiga makofi

Matthew 26:67 in English

Matthew 26:67 · Berean Standard Bible

Then they spit in His face and struck Him. Others slapped Him

Context

65Ndipo kuhani mkuu akararua mavazi yake na kusema, “Amekufuru! Tuna haja gani tena ya mashahidi zaidi? Tazama, sasa ninyi mmesikia hayo makufuru. 66Uamuzi wenu ni gani?” Wakajibu, “Anastahili kufa.” 67Kisha wakamtemea mate usoni na wengine wakampiga ngumi. Wengine wakampiga makofi 68na kusema, “Tutabirie, wewe Kristo! Ni nani aliyekupiga?” 69Wakati huu Petro alikuwa amekaa nje uani. Mtumishi mmoja wa kike akamjia na kumwambia, “Wewe pia ulikuwa pamoja na Yesu wa Galilaya.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.