Native Bible

Matthew 26:66 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Uamuzi wenu ni gani?” Wakajibu, “Anastahili kufa.”

Matthew 26:66 in English

Matthew 26:66 · Berean Standard Bible

What do you think?” “He deserves to die,” they answered.

Context

64Yesu akajibu, “Wewe umenena. Lakini ninawaambia nyote: Siku za baadaye, mtamwona Mwana wa Adamu akiwa ameketi mkono wa kuume wa Mwenye Nguvu, na akija juu ya mawingu ya mbinguni.” 65Ndipo kuhani mkuu akararua mavazi yake na kusema, “Amekufuru! Tuna haja gani tena ya mashahidi zaidi? Tazama, sasa ninyi mmesikia hayo makufuru. 66Uamuzi wenu ni gani?” Wakajibu, “Anastahili kufa.” 67Kisha wakamtemea mate usoni na wengine wakampiga ngumi. Wengine wakampiga makofi 68na kusema, “Tutabirie, wewe Kristo! Ni nani aliyekupiga?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.